Bingwa huyo ambaye aliyebobea katika magonjwa ya moyo, ameshauri mambo matano, ikiwamo kila mmoja kufahamu kiwango cha presha yake; kujua uzito ukoje; kujua kiwango cha sukari; na kiwango cha ukubwa ...